Lk. 12:1 SUV

1 Wakati huo, makutano walipokutanika elfu elfu, hata wakakanyagana, alianza kuwaambia wanafunzi wake kwanza, Jilindeni na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni unafiki.

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:1 katika mazingira