Lk. 12:11 SUV

11 Na watakapowapeleka ninyi mbele ya masinagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza maneno yenu jinsi mtakavyojibu au kusema;

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:11 katika mazingira