Lk. 12:24 SUV

24 Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, na Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:24 katika mazingira