Lk. 12:3 SUV

3 Basi, yo yote mliyosema gizani yatasikiwa mwangani; na mliyonena sikioni mwa mtu katika vyumba vya ndani, yatahubiriwa juu ya dari.

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:3 katika mazingira