Lk. 12:33 SUV

33 Viuzeni mlivyo navyo, mtoe sadaka. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, akiba isiyopungua katika mbingu, mahali pasipokaribia mwivi, wala nondo haharibu.

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:33 katika mazingira