Lk. 12:53 SUV

53 Watafarakana baba na mwanawe, na mwana na babaye; mama na binti yake, na binti na mamaye; mkwe mtu na mkwewe, mkwe na mkwe mtu.

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:53 katika mazingira