Lk. 13:19 SUV

19 Umefanana na punje ya haradali aliyotwaa mtu akaitupa katika shamba lake; ikamea, ikawa mti; ndege wa angani wakakaa katika matawi yake.

Kusoma sura kamili Lk. 13

Mtazamo Lk. 13:19 katika mazingira