Lk. 13:25 SUV

25 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako;

Kusoma sura kamili Lk. 13

Mtazamo Lk. 13:25 katika mazingira