Lk. 13:31 SUV

31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.

Kusoma sura kamili Lk. 13

Mtazamo Lk. 13:31 katika mazingira