Lk. 13:33 SUV

33 Pamoja na hayo imenipasa kushika njia yangu leo na kesho na kesho kutwa; kwa kuwa haimkini nabii aangamie nje ya Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Lk. 13

Mtazamo Lk. 13:33 katika mazingira