Lk. 14:12 SUV

12 Akamwambia na yule aliyemwalika, Ufanyapo chakula cha mchana au cha jioni, usiwaite rafiki zako, wala ndugu zako, wala jamaa zako, wala jirani zako wenye mali; wao wasije wakakualika wewe ukapata malipo.

Kusoma sura kamili Lk. 14

Mtazamo Lk. 14:12 katika mazingira