Lk. 14:18 SUV

18 Wakaanza wote kutoa udhuru kwa nia moja. Wa kwanza alimwambia, Nimenunua shamba, sharti niende nikalitazame; tafadhali unisamehe.

Kusoma sura kamili Lk. 14

Mtazamo Lk. 14:18 katika mazingira