Lk. 14:26 SUV

26 Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake waume na wake; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Kusoma sura kamili Lk. 14

Mtazamo Lk. 14:26 katika mazingira