Lk. 14:31 SUV

31 Au kuna mfalme gani, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, asiyeketi kwanza na kufanya shauri, kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini?

Kusoma sura kamili Lk. 14

Mtazamo Lk. 14:31 katika mazingira