Lk. 15:20 SUV

20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana.

Kusoma sura kamili Lk. 15

Mtazamo Lk. 15:20 katika mazingira