Lk. 16:1 SUV

1 Tena, aliwaambia wanafunzi wake, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali zake.

Kusoma sura kamili Lk. 16

Mtazamo Lk. 16:1 katika mazingira