Lk. 16:10 SUV

10 Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia.

Kusoma sura kamili Lk. 16

Mtazamo Lk. 16:10 katika mazingira