Lk. 16:13 SUV

13 Hakuna mtumishi awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana, ama atamchukia huyu na kumpenda huyu, ama atashikamana na huyu na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali.

Kusoma sura kamili Lk. 16

Mtazamo Lk. 16:13 katika mazingira