Lk. 16:15 SUV

15 Akawaambia, Ninyi ndinyi mnaojidai haki mbele ya wanadamu, lakini Mungu awajua mioyo yenu; kwa kuwa lililotukuka kwa wanadamu huwa chukizo mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili Lk. 16

Mtazamo Lk. 16:15 katika mazingira