Lk. 17:10 SUV

10 Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya tu yaliyotupasa kufanya.

Kusoma sura kamili Lk. 17

Mtazamo Lk. 17:10 katika mazingira