Lk. 17:20 SUV

20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;

Kusoma sura kamili Lk. 17

Mtazamo Lk. 17:20 katika mazingira