Lk. 17:27 SUV

27 Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika safina, gharika ikashuka ikawaangamiza wote.

Kusoma sura kamili Lk. 17

Mtazamo Lk. 17:27 katika mazingira