Lk. 18:31 SUV

31 Akawachukua wale Thenashara, akawaambia, Tazameni, tunapanda kwenda Yerusalemu, na mambo yote yatatimizwa, Mwana wa Adamu aliyoandikiwa na manabii.

Kusoma sura kamili Lk. 18

Mtazamo Lk. 18:31 katika mazingira