Lk. 18:39 SUV

39 Basi wale waliotangulia wakamkemea ili anyamaze; lakini yeye alizidi sana kupaza sauti, Ee Mwana wa Daudi, unirehemu.

Kusoma sura kamili Lk. 18

Mtazamo Lk. 18:39 katika mazingira