Lk. 19:17 SUV

17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.

Kusoma sura kamili Lk. 19

Mtazamo Lk. 19:17 katika mazingira