Lk. 19:37 SUV

37 Hata alipokuwa amekaribia matelemko ya mlima wa Mizeituni, kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona,

Kusoma sura kamili Lk. 19

Mtazamo Lk. 19:37 katika mazingira