Lk. 2:12 SUV

12 Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng’ombe.

Kusoma sura kamili Lk. 2

Mtazamo Lk. 2:12 katika mazingira