Lk. 2:15 SUV

15 Ikawa, malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji waliambiana, Haya, na twendeni mpaka Bethlehemu, tukalione hilo lililofanyika, alilotujulisha Bwana.

Kusoma sura kamili Lk. 2

Mtazamo Lk. 2:15 katika mazingira