Lk. 2:34 SUV

34 Simeoni akawabariki, akamwambia Mariamu mama yake, Tazama, huyu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka wengi walio katika Israeli, na kuwa ishara itakayonenewa.

Kusoma sura kamili Lk. 2

Mtazamo Lk. 2:34 katika mazingira