Lk. 2:36 SUV

36 Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake.

Kusoma sura kamili Lk. 2

Mtazamo Lk. 2:36 katika mazingira