Lk. 2:48 SUV

48 Na walipomwona walishangaa, na mama yake akamwambia, Mwanangu, mbona umetutenda hivi? Tazama, baba yako na mimi tulikuwa tukikutafuta kwa huzuni.

Kusoma sura kamili Lk. 2

Mtazamo Lk. 2:48 katika mazingira