Lk. 20:17 SUV

17 Akawakazia macho akasema, Maana yake nini basi neno hili lililoandikwa,Jiwe walilolikataa waashi,Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni?

Kusoma sura kamili Lk. 20

Mtazamo Lk. 20:17 katika mazingira