Lk. 20:21 SUV

21 Wakamwuliza, wakisema, Mwalimu, twajua ya kwamba wasema na kufundisha yaliyo ya haki, wala hujali cheo cha mtu, bali unafundisha njia ya Mungu kwa kweli.

Kusoma sura kamili Lk. 20

Mtazamo Lk. 20:21 katika mazingira