Lk. 21:24 SUV

24 Wataanguka kwa ukali wa upanga, nao watatekwa nyara na kuchukuliwa katika mataifa yote; na Yerusalemu utakanyagwa na Mataifa, hata majira ya Mataifa yatakapotimia.

Kusoma sura kamili Lk. 21

Mtazamo Lk. 21:24 katika mazingira