Lk. 22:58 SUV

58 Baadaye kitambo mtu mwingine alimwona akasema, Wewe nawe u mmoja wao. Petro akasema, Ee mtu, si mimi.

Kusoma sura kamili Lk. 22

Mtazamo Lk. 22:58 katika mazingira