Lk. 23:14 SUV

14 akawaambia, Mtu huyu mmemleta kwangu kana kwamba anapotosha watu; nami, tazama, nimeamua mambo yake mbele yenu, ila sikuona kwake kosa lo lote katika mambo hayo mliyomshitaki;

Kusoma sura kamili Lk. 23

Mtazamo Lk. 23:14 katika mazingira