Lk. 23:28 SUV

28 Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi, bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu.

Kusoma sura kamili Lk. 23

Mtazamo Lk. 23:28 katika mazingira