Lk. 23:47 SUV

47 Alipokwisha kusema hayo alikata roho. Yule akida alipoona yaliyotukia, alimtukuza Mungu, akisema, Hakika yake, mtu huyu alikuwa mwenye haki.

Kusoma sura kamili Lk. 23

Mtazamo Lk. 23:47 katika mazingira