Lk. 24:19 SUV

19 Akawauliza, Mambo gani? Wakamwambia, Mambo ya Yesu wa Nazareti, aliyekuwa mtu nabii, mwenye uwezo katika kutenda na kunena mbele za Mungu na watu wote;

Kusoma sura kamili Lk. 24

Mtazamo Lk. 24:19 katika mazingira