Lk. 24:39 SUV

39 Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.

Kusoma sura kamili Lk. 24

Mtazamo Lk. 24:39 katika mazingira