Lk. 3:14 SUV

14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.

Kusoma sura kamili Lk. 3

Mtazamo Lk. 3:14 katika mazingira