Lk. 3:17 SUV

17 ambaye pepeo lake li mkononi mwake, naye atausafisha sana uwanda wake, na kuikusanya ngano ghalani mwake, bali makapi atayateketeza kwa moto usiozimika.

Kusoma sura kamili Lk. 3

Mtazamo Lk. 3:17 katika mazingira