Lk. 4:16 SUV

16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.

Kusoma sura kamili Lk. 4

Mtazamo Lk. 4:16 katika mazingira