Lk. 4:36 SUV

36 Mshangao ukawashika wote, wakasemezana wakisema, Ni neno gani hili, maana awaamuru pepo wachafu kwa uwezo na nguvu, nao hutoka.

Kusoma sura kamili Lk. 4

Mtazamo Lk. 4:36 katika mazingira