Lk. 5:10 SUV

10 na kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washirika wa Simoni. Yesu akamwambia Simoni, Usiogope, tangu sasa utakuwa ukivua watu.

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:10 katika mazingira