Lk. 5:12 SUV

12 Ikawa, alipokuwa katika mmojawapo wa miji ile, tazama, palikuwa na mtu amejaa ukoma; naye alipomwona Yesu alianguka kifudifudi, akamwomba akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:12 katika mazingira