Lk. 5:14 SUV

14 Akamkataza asimwambie mtu, ila, Nenda ukajionyeshe kwa kuhani; ukatoe kwa ajili ya kutakasika kwako kama Musa alivyoamuru, iwe ushuhuda kwao.

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:14 katika mazingira