Lk. 5:24 SUV

24 Lakini, mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (alimwambia yule mwenye kupooza). Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende zako nyumbani kwako.

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:24 katika mazingira