Lk. 5:33 SUV

33 Nao wakamwambia, Wanafunzi wa Yohana hufunga mara nyingi, na kuomba dua; na kadhalika wanafunzi wa Mafarisayo; lakini wanafunzi wako hula na kunywa!

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:33 katika mazingira