Lk. 6:23 SUV

23 Furahiwani siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:23 katika mazingira